Asha Baraka ametoa shukrani zake za dhati kwa Kamati ya Halmashauri Kuu Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kumteua kuwa mmoja wa wagombea Ubunge kwa kupitia makundi maalum NGO.Jina la Asha Baraka ni miongoni mwa majina ya wagombea waliopita kugombea Ubunge na CPA Amos Makala alipozungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma leo tarehe 29 Julai 2025.
0 Comments