Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea tuzo ya heshima na shukrani kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Ndugu Murida Mshota Marocha, mara baada ya kuzindua Mpango wa Miaka Mitano wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo wenye lengo la kulinda afya ya mifugo, kuongeza uzalishaji na kufungua fursa zaidi za biashara ya mifugo katika soko la ndani na nje ya nchi, leo Jumatatu, tarehe 16 Juni 2025 katika Viwanja vya Nanenane, Nyakabindi, Bariadi, Mkoani Simiyu.
WAKAZI WA DAR ES SALAAM WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA UPASUAJI WA MABUSHA BURE
-
*Wizara ya Afya imeanza kambi maalum ya siku 30 ya upasuaji na uchunguzi
wa magonjwa ya mabusha na matende kwa wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.*
*Kamb...
7 hours ago


0 Comments