Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri Mkuu wa Italia Mhe. Giorgia Meloni wakati alipowasili katika Viwanja vya Villa Doria Pamphilj Jijini Roma nchini Italia kushiriki Mkutano wa Ubia wa Maendeleo kati ya Bara la Afrika na Serikali ya Italia (Mattei Plan) pamoja na Mpango wa Ulaya (Global Gateway) unaofanyika leo tarehe 20 Juni 2025. Kushoto ni Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Ursula Von der Leyen.
Gridi ya Taifa ya Maji itachochea maendeleo kwa kasi
-
Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga
Maji ni kimiminika muhimu kwa maisha na uhai wa viumbei. Maji hutumika
kuanzia asubuhi, mchana, jioni hadi usiku. Hutumi...
1 hour ago




0 Comments