Kamishna Mteule wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro NCAA Abdul Razaq Badru (kushoto) ameanza kazi rasmi leo tarehe 3 Juni 2025,kulia aliyekuwa Kamishna wa NCAA Dkt. Elirehema Doriye akikabidhi ofisi katika hafla fupi iliyofanyika Makao Makuu ya Ofisi za NCAA zilizopo Karatu Mkoani Arusha ambapo ataanza majukumu yake kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 26 Mei 2025.
0 Comments