Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Afrexim Prof. Benedict Okey Oramah. Mazungumzo hayo yamefanyika kando ya Mkutano wa 32 wa Benki ya Afrexim unaofanyika Abuja nchini Nigeria leo tarehe 26 Juni 2025.
WAKAZI WA DAR ES SALAAM WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA UPASUAJI WA MABUSHA BURE
-
*Wizara ya Afya imeanza kambi maalum ya siku 30 ya upasuaji na uchunguzi
wa magonjwa ya mabusha na matende kwa wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.*
*Kamb...
7 hours ago



0 Comments