Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yatakayofanyika Kesho (13 Mei, 2025) Kijijini kwake Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro.
Uchumi : Benki ya NBC Yazindua Kampeni ya “NBC Shambani” Kuimarisha Elimu
ya Fedha na Kuchochea Kilimo Biashara Ruvuma
-
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua rasmi kampeni yake ya “Wekeza
NBC Shambani Ushinde” katika mkoa wa Ruvuma, ikiwa na lengo la kuimarisha
elim...
5 hours ago



0 Comments