Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 19, 2024 jijini Dar es salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.
Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Kisasa Tumbatu Ukiendele
-
Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Tumbatu ukiendelea kwa Kasi ujenzi huo
kama unavoonekana pichani hatua za ujenzi huo zikiendelea.
24 minutes ago
0 Comments