Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mbinga Mkoani Ruvuma lililozinduliwa leo 25Septemba na Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Rais Dkt. Samia Afungua Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga 25 Septemba, 2024.
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuzindua jengo la Halmashauri ya Mbinga Mkoani Ruvuma leo 25 Septemba,2024
TRA WAWASHUKURU GF TRUCK LTD NA LINDI EXPRESS LTD
-
Kaimu Kamishna Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ldara ya Kodi
za ndani, kitengo cha walipakodi wa kati Godwin Barongo pamoja na
Watumishi...
4 hours ago
0 Comments