Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyesimama akishukuru mara baada ya kusomewa Dua katika Msikiti Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoani Ruvuma leo tarehe 27 Septemba, 2024.
NOTI MPYA KUANZA KUTUMIKA FEBRUARI MOSI, 2025
-
Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya
za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mh...
1 hour ago
0 Comments