Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amemtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea,Baba Askofu Damian Dalu katika makazi yake yaliyopo Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea la Mtakatifu Mathias Mulumba Kalemba 24,Septemba, 2024.
0 Comments