CHINA KUTOA USD BILIONI 50 KUSAIDIA MAENDELEO AFRIKA


 

Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Xi Jinping ametangaza kutoa kiasi cha dola za Marekani bilioni 50 zitakazo elekezwa kusaidia masuala mbalimbali ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa mataifa ya barani Afrika.  

 

Ahadi hiyo imetolewa leo tarehe 5 Septemba 2024 alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) jijini Beijing China .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la ushirikiano kati ya China na Afrika uliofanyika jijini Beijing, China Septemba  5 ,2024
Rais  wa Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Xi Jinping akifungua  Mkutano  wa Kilele wa Wakuu wa Nchi  na Serikali  wa Jukwaa la ushirikiano kati ya China na Afrika uliofanyika jijini Beijing , China  Septemba  05 ,2024.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika jijini Beijing, China Septemba 05,  2024.


Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Xi Jinping akifungua Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la ushirikiano kati ya China na Afrika uliofanyika jijini Beijing, China, Septemba 05, 2024

Post a Comment

0 Comments