Kutoka kushoto, Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mh. Jasem Al-Najem, Naibu Waziri wa sera, Bunge, Kazi, vijana, ajira na walemavu Mh Stella Ikupa, na Mwenyekiti wa Dr Amon Mkoga Foundation. Ubalozi wa Kuwait umetoa vyerehani, fimbo za kutembelea walemavu na baiskeli za walemavu vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 18 kwa watu wenye mahitaji maalum kutoka mkoa wa Tabora.
Maonesho ya Mvinyo wa Afrika Kusini Yaangazia Ukuaji wa Sekta ya Utalii
Tanzania
-
DAR ES SALAAM
WADAU wa sekta ya ukarimu na utalii wameeleza umuhimu unaoongezeka wa
vyakula, mvinyo na uzoefu wa kiutamaduni katika kuimarisha nafasi y...
4 hours ago

0 Comments