Bondia Idd Mkwela kushoto akiwa na Mwita Machage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya julai 24 katika ukumbi wa musoma bar Tandika Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Idd Mkwela kushoto akiwa na Mwita Machage baada ya
kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya julai 24 katika
ukumbi wa musoma bar Tandika Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha
wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
kulia akiwa na mabondia wake Mohaed Kisua kg 51 iDDi Mkwela kg 61 Vicent
Mbilinyi Kg 63 na Shabani Kaoneka Kg 72 Picha na SUPER D BOXING NEWS Na Mwandishi Wetu BONDIA Idd Mkwela atapanda tena ulingoni kesho jumapili katika mpambano wake mwingine wa Kg 61 atakapo mkabili Mwita Machage katika ukumbi wa musoma bar uliopo tandika akizungumza baada ya upimaji uzito na afya kwa mabondia watakaocheza siku hiyo Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' amesema kuwa mabondia wengine waliopima na watagombania ubingw wa taifa ni Imani Mapambano atakaezichapa na Selemani Galile raundi kumi za ubingwa katika mapambano haya tumeamua kuchukuwa mabondia chipkizi kwa ajili ya kuendelea kuamasisha mchezo wa ngumi sehemu mbalimbali nchini hususani katika ukanda uhu wa Temeke ambapo tumekuwa tukichezesha vijana wanao chipukia kila wakati
Katika
Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi
pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na
kocha 'Super D'
kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki
kujua sheria za masumbwi.
Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd
Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David
Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa
yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano
makubwa matano ya utangulizi
|
0 Comments