Meneja wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano kwa Umma wa kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Acacia,Necta P Foya akishangilia wakati akishuka toka mlima Kilimanjaro. |
Mkuu wa wilaya ya Tarime ambaye alikuwa ni mgeni rasmi katika mapokezi ya timu ya watu 21 iliyopanda mlima Kilimanjaro,G;orious Luoga (wa tatu toka kushoto) akiimba na wapandaji hao. |
Wapandaji wakiimba mara baada ya kufika katika lango la Mweka,hapa wakiongozwa nyimbo mbalimbali na mmoja wa asakari wa Hifadhi ya taifa ya Mlima Kiliamanjaro. |
Afisa mtendaji mkuu wa Kampuni ya kuchimba Dhahabu ,Brad Gordon akifurahia na wafanyakazi wa kampuni hiyo,Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma,Necta Foya na Fredrick Njoka . |
Timu ya watu 21 waliopanda mlima Kilimanjaro,wakiwa katika picha ya Pamoja katika lango la Mweka mara baada ya kushuka toka Kilele cha Uhuru. |
Baadhi ya washiriki wa zoezi hilo la kupanda Mlima Kilimanjaro. |
Mkuu wa Wilaya ya Tarime ,Glorious Luoga akiteta jambo na Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Acacia. |
Mkuu wa wilaya ya Tarime,Glorious Luoga akizungumza katika hafla hiyo. |
Mkuu wa wilaya ya Tarime,Glorious Luoga akiwa amenyanyua juu mfano wa Hundi. |
0 Comments