Tigo Mteja bora 2014, Anta Ramadhani
(kulia) akipokea zawadi ya simu kutoka kwa Mtaalamu wa Habari katika
Mitandao ya Kijamii ya Tigo Samira Baamar, katikati ni Meneja Uendeshaji
na Msaidizi wa Mifumo ya Mawasiliano wa Tigo Halima Kasoro.
BAGAMOYO SUGAR MABINGWA MKOA WA PWANI
-
Timu ya Bagamoyo Sugar ya Bagamoyo wametwaa Ubingwa wa Mkoa wa Pwani RCL
kwa 3-2 dhidi ya timu ya Kiduli yenye maskani yake Wilaya ya Kibaha.
Akizun...
4 hours ago
0 Comments