Kocha kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu
Mhamila 'Super D' akionesha baadhi ya nakala za DVD ambazo utumia
kufundishia mbinu za mataifa mbalimbali wakiwemo mabondia wanaotamba
Duniani kwa sasa ambazo anaziuza kwa ajili ya vijana kupata hamasa zaidi
ya kufanya mazoezi kwa bidii
super d |
super d akifuraia ushinda wa shabani kaoneka |
0 Comments