aSKARI WA HOSPITALI YA tAIFA YA MUHIMBILI AKIMUEKA SAWA KOT ANAEDAIWA DAKITARI FEKI BAADA YA KUDAKWA LEOAL,IEJITAMBULISHA KWA JINA LA DISMAS MACHA |
DAKITARI FEKI AKIONYESHA MIPIRA YA KUVAA WAKATI WA KUMUHUDUMIA MGOJWAAMBAYO ALIKUTWA NAYO KWENYE BEGI LAKE |
DAKITARI FEKI AKIONYESHA NYARAKA ZA MBALIMBALI ZIZOTUMIKA WAKATI ANAPOTOA HUDUMA PAMOJA NA KARATASI ZA KUANDIKIWA MGONJWA BAADA KUMUONA DAKITARI |
ANAEDAIWA DAKITARI FEKI AKIONYESHA VITU VILIVYOKUTWA KATIKA BEGI LAKE WA OPILI KUSHOTO NI MKURUGENZI WA HOSPOTALI YA MOI AMBAKO ALIKOKAMATWA DAKITARI HUYO LEO |
MAAFISA WA USALAMA PAMOJA NA MADAKITARI WA MUHIMBILI WAKIMUHOJI DAKITARI FEKI |
MKURUGENZI WA HOSPITALI YA MOI DK OTHMAN AKIWAELEZA WANDISHI WA HABARI KUHUSU DAKITARI FEKI LEO |
DAKITARI FEKI AKIWA NA DAFTARI ALILOKUWA ANAPITA WODINI KUWACHANGISHA WAFANYAKAZI PESA KWANI MKE WAKE AMEFARIKI NCHINI INDIA ALIKOPELEKWA KUTIBIWA |
DAKITARI FEKI AKIWAONYESHA WANDISHI WA HABARI MOJA YA KITABU CHA MASWALA YA MAGONJWA YA AKINA MAMA AMBAYO DAKITARI HUYO ALIKUA ANADILI NAYO |
AKIWAELEZEA WANDISHI WA HABARI |
ASKARI WA USALAMA WAKIMSINDIKA DAKITARI FEKI KUMPELEKA KITUONI KWA UCHUNGUZI ZAIDI |
AKIWA CHINI YA ULINZI MKALI |
AKISUBIRI GARI |
AKIINGIZWA KWENYE GARI NA KUELEKEA KITUO CHA POLISI CHA SALANDA |
BAADHI YA WATU MBALIMBALI WALIOFIKA KUMUONA |
WALIOFIKA KUMUONA DAKITARI FEKI |
0 Comments