FAINAL YA MASHINDANO YA WAZI YA TAIFA YA NGUMI YALIVYO MALIZIKA MWISHONI MWA WIKI UWANJA WA NDANI WA TAIFA

 Mabondia latifa Halidi  kushoto wa Kigoma na Vumilia Kalinga wa JKT wakioneshana umwanmba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya taifa ya wazi yaliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita picha na SUPER D BOXING NEWS
Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa nchini 'BFT' Lukelo Willilo akimvisha medali ya dhaabu bondia Robert Kyaruzi baada ya kushinda katika fainal ya mashindano ya taifa ya wazi iliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita
Mabondia Siwatu Elieta kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Zulfa Macho wakati wa fainali za mchezo wa masumbwi Macho alishinda kwa point mpambano huo
 Mabondia latifa Halidi  kushoto wa Kigoma na Vumilia Kalinga wa JKT wakioneshana umwanmba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya taifa ya wazi yaliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita picha na SUPER D BOXING NEWS

 Mfanya biashara na mdau na promota maarufu nchini Zahoro Maganga akisalimiana na bondia 
 wakati wa fainali
ya mashindano ya taifa
UPER D BOXING COACH KARIKA HARAKATI ZA KUINUA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI Kocha kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akionesha baadhi ya nakala za DVD ambazo utumia kufundishia mbinu za mataifa mbalimbali wakiwemo mabondia wanaotamba Duniani kwa sasa ambazo anaziuza kwa ajili ya vijana kupata hamasa zaidi ya kufanya mazoezi kwa bidii super d Kocha kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akionesha baadhi ya nakala za DVD ambazo utumia kufundishia mbinu za mataifa mbalimbali wakiwemo mabondia wanaotamba Duniani kwa sasa ambazo anaziuza kwa ajili ya vijana kupata hamasa zaidi ya kufanya mazoezi kwa bidii super d akifuraia ushinda wa shabani kaoneka You might also like: Make Money at : http://bit.ly/copy_win

Make Money at : http://bit.ly/copy_win

Post a Comment

0 Comments