Bondia Rajabu Omari kushoto akioneshana umwamba
na Herman Shekivuli wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa
Pwani Shekifuli alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza picha na SUPER D BLOG
Bondia Mustafa Dotto akioneshana
umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhani Max wakati wa mpambano wao
uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani mwishoni mwa wiki iliyopita Dotto
alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu ya mpambano huo picha na SUPER D BLOG
Bondia Shedrack Ignas kushoto
akipambana na Fred Masinde wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha
mkoa wa Pwani Ignas alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu Picha na picha
na SUPER D BLOG
Bondia Zumba Kukwe kushoto
akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Sweet Kalulu wakati wa
mpambano wao uliofanyika Kibaha mkoa wa Pwani mpambano huo ulimalizika
kwa sare picha na SUPER D BLOG
0 Comments