Msimamizi mkuu wa mauzo wa kanda ya pwani wa kampuni ta
Megatrade, Albert Kingu kushoto akitoa zawadi ya vyakula kwa ajili ya
sikukuu ya xmas na mwaka mpya kwa mtoto Miraji Ally anaeishi katika
kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga Center kilichopo Kinondoni
hananasif wengine ni Subira Ally na Hadija Mauinga mlezi wa kituo hicho
Msimamizi mkuu wa mauzo wa kanda ya pwani wa kampuni ta
Megatrade, Albert Kingu kushoto akitoa zawadi ya vyakula kwa ajili ya
sikukuu ya xmas na mwaka mpya kwa mtoto Subira Ally anaeishi katika
kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga Center kilichopo Kinondoni
hananasif wengine Hadija Maunga mlezi wa kituo hicho na mtoto
Miraji Ally
Miraji Ally
Msimamizi mkuu wa mauzo wa kanda ya pwani wa kampuni ta
Megatrade, Albert Kingu akiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaoishi katika kituo hicho
0 Comments