Meneja
wa Ghetto Radio ya Sibuka FM 94.5 Bw. Edward Rukaka aliyeshika Mkasi
,akiizindua Rasmi Studio hiyo na kuitambulisha kwa wadau. kushoto ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Bahati nasibu Tanzania Bw. Abbas Tarimba
akishuhudia uzinduzi huo.
Balozi
wa Ghetto radio Tanzania msanii wa muziki wa Bongo Fleva Juma Nature na
Violeth Okina wa kwanza (kulia) ambaye ni Meneja Mauzo wa Ghetto Radio
Tanzania katika sherehe hizo.
0 Comments