Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Mpya Jaji Joseph Warioba, akitolewa nje
baada ya vurugu zilizotokea katika Mdahalo wa "Mchakato wa Katiba Mpya,
uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam kwa
ajili ya maoni ya Wananchi na Katiba Inayopendekezwa" . Mdahalo huo
ulivunjika baada ya vurugu hizo.
:
0 Comments