Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhan Alfani wakati wa mpambano wao Kaoneka alishinda kwa K,O ya Raundi ya kwanza Picha na SUPER D BLOG
Shabani Kaoneka akinuliwa kuwa mshindi |
Bondia Fred Sayuni kushoto akipambana na Mbayo Ilunga wakati wa mchezo wao uliofanyika katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam Sayuni alishinda kwa K,O raundi ya pili Picha na SUPER D BLOG |
Bondia Henry Wandela kushoto
akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Thomas Mashali wakati wa
mpambano wao Mashali alishinda kwa K,O ya raundi ya pili Picha na SUPER D BLOG
0 Comments