MBUNGE MBATIA ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI YA BISHOP MOSHI JIMBONI VUNJO.

Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia akiongozana na mkuu wa Shule ya sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi na viongozi wengine wa shule hiyo pindi alipotembelea mazingira ya shule.
Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia akiongozana na mkuu wa Shule ya sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi akitembelea bweni la wasichana katika shule hiyo.
Mh Mbatia akitizama moja ya chumba katika Bweni la wasichana ,shule ya sekondari Bishop Moshi ,chumba ambacho kimewekewa miundombinu mizuri ikiwemo milango kila mahali jambo ambalo lisaidia pindi kunapotokea majanga yakiwemo ya Moto.

Mh Mbatia akitizama baadhi ya vitabu katika maktaba ya shule hiyo,kulia ni mkuu wa shule hiyo Sophi

Mh Mbatia akizungumza jambo mara baada ya kuingia katika chumba maalumu cha kujifunzia Komputa na kukuta bado shule hiyo wanatumia komputa zilizopitwa wakati.

Post a Comment

0 Comments