KONGAMANO LA CCM UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akizungumza na Wananchi wa CCM na Wanachama katika Kongamano maalum la maadhimisho ya sherehe za miaka minne ya Ushindi wa CCM na kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar.
 Baadhi ya wanachama wa CCM walioshiriki katika Kongamano maalum kwa ajili ya kusherehekea miaka minne ya ushindi wa Dk.Ali Mohamed Shein kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baaraza la Mapinduzi wakimsikiliza  Makamo Mwenyekiti wa CCM alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar.

 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na baadhi ya Viongozi wa Chama baada ya kulifungua Kongamano la CCM  katika kusherehekea miaka minne ya ushindi wa CCM na Dk.Ali Mohamed Shein kuwa Rais wa Zanzibar na MBLM lililofanyika katika ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu Ya CCM Balozi Seif Ali Iddi katika  Hoteli ya Grand Palace Mjini Zanzibar baada ya kulifungua Kongamano la CCM  katika kusherehekea miaka minne ya ushindi wa CCM na Dk.Ali Mohamed Shein kuwa Rais wa Zanzibar na MBLM.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai katika  Hoteli ya Grand Palace Mjini Zanzibar baada ya kulifungua Kongamano la CCM  katika kusherehekea miaka minne ya ushindi wa CCM na Dk.Ali Mohamed Shein kuwa Rais wa Zanzibar na MBLM. Picha na Ikulu.
RAIS AZUNGUMZA NA WAZEE MKOA WA DODOMA LEO Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wazee wa mji wa Dodoma leo katika mkutano waliouitisha wazee kwenye ukumbi wa Kilimani, Dodoma, ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wazee wa mji wa Dodoma leo katika mkutano waliouitisha wazee kwenye ukumbi wa Kilimani, Dodoma, ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo Novemba 4, 2014 tayari kwa mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo. Wimbo wa Taifa Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma Sehemu ya wazee wakati wa mkutano wao na Rais Kikwete mjini Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo. Meza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo. Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa Mazungumzo kati ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na wazeewa mji wa Dodoma

Copy n Win at: http://bit.ly/copy_win

Post a Comment

0 Comments