Na Mwandishi Wetu
BONDIA Fadhili majiha kwa mara ya
kwanza ataiwakilisha nchi ya tanzania akicheza katika mpambano wa
utangulizi wa bondia mkubwa duniani Manny Pacquaio na Chris Algieri mpam
bano utakaofanyika
bano utakaofanyika
Cotai Arena, Venetian Resort, Macao, Macao S.A.R., China mpambano ambao bonia mtanzania Fadhili Majiha atavaana na Jerwin Ancajas kutoka Philippines mpambano utakaokuwa wa raundi 8
mch
ezo uliopowa hadhi ya nyota mbili ambapo watanzania wote wanapaswa kumuombea duwa bondia nambari moja kwa ubora nchini tanzani kwa ajili ya kutuwakilisha katika mpambano uho mkubwa wa kimataifa ambapo zaidi ya watu wengi duniani watakuwa wakiangalia mojakwa moja kupitia luninga zao

Majiha
ambaye hivi karibuni ametokea nchini Bangkok, Thailand alipocheza
mpambano wake wa mwisho wa raundi 12 na kupoteza kwa pointi
amewakikishia wa tanzania kuwa bado yupo fiti na atafanya maajabu siku hiyo kwa kumtwanga MPhilippines huyo ambaye atakutana nae siku hiyo
|
0 Comments