UKAGUZI WA VITUO NA MADUKA YA TIBA ASILI


 Mratibu wa Tiba Asili na Tiba Mbadala  kutoka  Manispaa ya Kinondoni, John Chikomo akikifunga duka linalouza bidhaa hizo jana, lijulikanalo kwa jina la Ng’aringa’ri lililopo eneo la Sinza  jijini Dares Salaam kwa sababu halikusajiliwa.Anayeandika maandishi ni Mfamasia Lucy Mziray  na aliyesimama ni Kaimu Msajili Mboni Bakari wote wanatoka katika Baraza la Tiba asili na Tiba Mbadala lililochini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Picha na Magreth Kinabo- MAELEZO.

Post a Comment

0 Comments