Mwili wa marehemu, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ ukibebwa na waombolezaji kuelekea katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Filamu nchini, Jacob Steven 'JB' (wa pili kutoka kulia) akielekea makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Viongozi
wa dini ya Kiisilam wakiomba dua mara baada ya kuzika marehemu Khamis
Kayumbu ‘Amigolas’ kwenye makaburi ya Kisutu Jijini Dar jioni hii.
MAZIKO ya
mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga
Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ aliyefariki juzi amezikwa leo katika
makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam na kuhudhuria na mamia ya watu.
(PICHA: RICHARD BUKOS NA DENIS MTIMA/GPL)
0 Comments