Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's
Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es
Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii
wamefanya mazoezi katika chumba maalum cha mazoezi 'Gym', ungana na
mpigapicha wa Father Kidevu Blog katika picha mbalimbali za warembo hao
katika kambi yao.
Dkt Nchimbi akutana na Balozi wa Japan nchini
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania
M...
40 minutes ago






0 Comments