Bondia Khalid Chokoraa kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Rashidi Juma wakati wa mazoezi yakw kwa ajili ya kujiandaa kupambana na Said Memba katika mpambano wao utakaofanyika agosti nane wakati wa siku ya tamasha la matumaini Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Khalid Chokoraa akipiga beg wakati wa maandalizi ya kujiandaa na mchezo wake utakaofanyika agosti 8 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Khalid Chokoraa kulia
akimrushia konde Rashidi Juma wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na
mpambano wake wa agosti 8 utakaofanyika katika uwanja mpya wa taifa
jijini Dar es salaam
Bondia Khalid Chokoraa kushoto
akielekezwa jinsi ya kupiga upeercut na Ramadhani Jifasto wakati wa
mazoezi yake yanayoenderea katika kami ya mwananyamala Dar es sa saal
kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake na
Said Memba utakaofanyika Agosti 8 katika uwanja mpya wa taifa Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Said Memba utakaofanyika Agosti 8 katika uwanja mpya wa taifa Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Khalid Chokoraa
Bondia Khalid Chokoraa kulia akielekezwa na Ramadhani Jifasto jinsi ya kupiga ngumi nzito
Bondia Khalid Chokoraa
na Rashidi Juma wakipambana mazoezini
0 Comments