Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kasimama kikakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kwenye
Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika
bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwela ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye
Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika
bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo. Wengine ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali na Waziri Mkuu Mzengo Pinda leo Julai 25, 2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo.
Wengine
toka kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Maalim Seif
Shariff Hamad, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe Mohamed Chande Othman na Jaji
Mkuu wa Zanzibar Mhe omar Othman makungu leo Julai 25, 2014
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiamkiana na wazee wa Tanzania
Legion waliopigana katika vitra kuu ya dunia ya pili waliohudhuria
kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika
katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25,
2014 PICHA NA IKULU
0 Comments