Baadhi
ya wafanyabiashara wa nguo na bidhaa nyingine katika Soko la Mitumba
Ilala Mchikichini, Jijiji Dar es Salaam, wameanza kujenga upya soko lao
lililoteketea kwa moto jana.
RAIS SAMIA: TUKIO LA OKTOBA 29 HALIKUWA LA BAHATI MBAYA, LILIRATIBIWA
-
Na Janeth Raphael MichuziTv
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema
matukio ya vurugu yaliyotokea wakati na baada ya ...
3 hours ago
0 Comments