Home
About
Contact
Home-icon
HABARI
_KITAIFA
_KIMATAIFA
JAMII
AFYA
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
KUHUSU SISI
MAWASILIANO
Home
TASWIRA KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO.
TASWIRA KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO.
Khadija Kalili
11:29 AM
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akibadlishana mawazo Mjumbe wa Bunge hilo Rashid Mtuta (kushoto) leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.
Naibu Katibu wa Bunge Maalum ambaye ni Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashillah (mwenye miwani) akibadlishana mawazo na Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuendelea na mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Costa Mahalu (kushoto) na Profesa Mark Mwandosya (kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuanza mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiwasili kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili kuendesha na kusimamia mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiongoza dua ya kuliombea Bunge na Taifa kabla ya kuanza mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Bunge hilo leo mjini Dodoma wakati wa mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakishiriki dua ya kuliombea Bunge hilo leo mjini Dodoma kabla ya kuanza mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya. picha na Bunge Maalum la Katiba- Dodoma
Post a Comment
0 Comments
ZINAZOBAMBA ZAIDI
ISMAIL ADEN RAGE ANG'ARA TABORA MJINI
7:43 AM
AZANIA BANK YAENZI USHINDI WA RIADHA DAR MASHINDANO YA TAIFA
8:19 PM
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA TUZO ZA JUBILEI YA MIAKA 50 YA MAONESHO YA SABASABA
9:08 AM
OFISI YA WAZIRI MKUU YAWAWEZESHA WATU WENYE ULEMAVU KUNG'ARA MAONESHO YA SABASABA
9:19 AM
WATALII WASHUHUDIA MWENGE WA UHURU UKIMULIKA MAAJABU YA NGORONGORO
10:26 AM
DKT. KIRUSWA ASITISHA UCHAGUZI WA MABROKA LONGIDO, AAGIZA ELIMU KWA WAPIGA KURA KWANZA
5:13 PM
TANZANIA KINARA WA HIFADHI YA GRAPHITE AFRIKA MAHITAJI YA LITHIUM YAENDELEA KUPNGEZEKA DUNIANI
4:57 PM
KIONGOZI WA DINI MWENYE MIAKA 95 AZUIWA KOREA
8:48 PM
WIZARA YA MADINI, TAASISI ZA ELIMU ZAJADILI UANZISHWAJI KITUO CHA UMAHIRI WA MADINI MKAKATI TANZANIA
9:28 AM
NGORONGORO HAKUNA KULALA SABASABA.
3:19 PM
Maktaba Yangu
HABARI
618
HALI YA HEWA
132
JAMII
63
MICHEZO
49
MATUKIO
26
Afya
21
SIASA
19
MAISHA
16
KIMATAIFA
9
UTALII
8
BURUDANI
6
DINI
5
KILIMO
3
SHERIA
3
MUZIKI
1
RIADHA
1
TEKNOLOJIA
1
Social Media
Habari Mchanganyiko
ISMAIL ADEN RAGE ANG'ARA TABORA MJINI
7:43 AM
MAAFISA NA ASKARI 29 TAWA WAHITIMU MAFUNZO
11:19 PM
AMANA BANK WARIDHISHWA NA MUITIKIO WA WAANCHI MAFIA
9:36 AM
MOI YAADHIMISHA MIAKA 30 YA HUDUMA ZA KIBINGWA
9:38 PM
SUBIRA MGALU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE.JIMBO LA BAGAMOYO ,PWANI
8:49 PM
WAIRAQ WAFANYA TAMBIKO WAKEMEA LAANA YA KUWAUA MABINTI MIAKA YA ZAMANI.
6:22 AM
AZANIA BANK YAENZI USHINDI WA RIADHA DAR MASHINDANO YA TAIFA
8:19 PM
WATALII WASHUHUDIA MWENGE WA UHURU UKIMULIKA MAAJABU YA NGORONGORO
10:26 AM
ACP TWAHA JUMA RPC MPYA TABORA
11:23 PM
JNHPP YAWAVUTIA WABUNGE; WASEMA NI FAHARI YA TAIFA NA MATUNDA YA KODI ZA WANANCHI
7:27 PM
0 Comments