Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) (katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na viongonzi mbalimbali wa Serikali pamoja na mwakilishi wa Wadau
wa Maendeleo nchini Bw. Richard Martini (kulia kwake) baada ya kumaliza
hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano
(TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali
iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.
TUME YA MADINI MOROGORO ,FADev, NA UNDP .WAWAPIGA MSASA WACHIMBAJI WADOGO
-
Tume ya Madini kwa ushirikiano wa Shirika la Maendeleo ya Umoja wa Mataifa
(UNDP) pamoja na Taasisi ya kuendeleza Uchimbaji Mdogo (FADev) wameendelea
kutoa...
2 hours ago
0 Comments