Rais
wa shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF, Jamal Malinzi (katikati)
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam leo kuhusu
mafanikio ya uongozi wake ndani ya siku 100 tangu alipoingia madarakani.
Kulia ni Afisa habari wa TFF Boniface Wambura (kushoto) ni Mshauri wa
ufundi, Rutayunga Peregenus.
Baadhi
ya Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia
mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa hotel ya Kempisk Hyatt
Regence, jijini Dar es Salaam.
0 Comments