Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti na zawadi, mshindi wa kwanza kwa kulipa kodi, Meneje
wa Huduma za Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Alois Qande Maleck,
wakati wa Sherehe za maadhimisho ya Saba ya Siku ya Mlipakodi,
zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo
Okt 8, 2013. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Janeth Mbene.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akihutubia wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Saba ya Siku ya
Mlipakodi, zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam,leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti na zawadi, mshindi wa pili kwa kulipa kodi,Mwakilishi
wa Kampuni ya Sigara Tanzania, Paul Makanza, wakati wa Sherehe za
maadhimisho ya Saba ya Siku ya Mlipakodi, zilizofanyika kwenye Ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Okt 8, 2013. Kulia ni Naibu
Waziri wa Fedha, Janeth Mbene.
Mshana akipokea Tuzo na Cheti kwa niaba ya Jukwaa la Wahariri.
Baadhi ya wananchi na walipakodi waliohudhuria sherehe hizo wakimsikiliza Makamu wa Rais.
Baadhi ya wananchi na walipakodi waliohudhuria sherehe hizo wakimsikiliza Makamu wa Rais.
Mwakilishi wa Taasisi ya Polisi, akipokea tuzo na Cheti.......
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, Harry Kitilya, akimkabidhi Tuzo na
Cheti, Mwananchi Shujaa wa Kodi, Dkt. Shumba, aliyediriki kuwekwa ndani
kwa kudai Risiti ya malipo yake ya chumba cha Hoteli katika moja ya
hotel katika mikoa ya Tanzania Bara, wakati wa Sherehe za maadhimisho ya
Saba ya Siku ya Mlipakodi, zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, Harry Kitilya, akimkabidhi zawadi
na Cheti, Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibasila, Ally Mshana, wakati
wa Sherehe za maadhimisho ya Saba ya Siku ya Mlipakodi, zilizofanyika
kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. Picha Zote
na OMR
0 Comments