Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akimuuliza swali Mfanyakazi
wa Mamlaka ya Maji Safi na Taka Dar es Salaam (DAWASA),Omar Mlanzi,
walipokwenda kupiga marufuku malori kwenda kumwaga maji taka katika
mabwawa ya Kurasini, Dar es Salaam, baada ya baadhi ya wakazi wa eneo
hilo kulazwa hospitali kwa kuhara na kutapika kulikosababishwa na Dawasa
kutoweka dawa ya kuua bakteria kwenye mabwawa hayo.Sababu nyingine ni
kwamba mabwawa hayo yamezidiwa baada ya mabwawa mengine jijini kufungwa
hivyo malori yote ya taka kwenda kumwaga hapo. Wa pili ni Diwani wa Kata
hiyo, Wilfred Kimath na Augustino ambaye ni mtumishi wa kampuni binafsi
iliyopewa jukumu la kusimamia malori yanayokmwaga mati taka katika
mabwawa hayo.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA
MATUKIO BLOG
Mtemvu akijadiliana jambo na Diwani, Kimath
Baadhi ya malori yaliyokutwa yakimwaga maji taka kwenye mabwawa hayo.
Moja ya malori lililokutwa likimwaga maji taka kabla ya kupigwa marufuku
Mtemvu akiwasiliana na uongozi wa Dawasco na Dawass
Moja ya mabwawa likiwa limefurika maji taka kupita kiasi
Mfanyakaziwa lori akifunga baada ya kuamriwa kufanya hivyo
Mmoja wa madereva Hemed Abdalah akielezea adha wanayipata baada ya mabwawa ya maji taka kufungwa jijini
Mtemvu kulia akiangalia baadhi ya malori ya maji taka
Mtemvu na Kimath wakiondoka baada ya kufunga matumizi ya mabwawa hayo

0 Comments