Filamu hiyo ya mapenzi ambayo kuna mambo mbalimbali ya kuelimisha jamii ya kitanzania ambapo
DASMILA
aliyeuawa kipindi cha nyuma kidogo, arudi tena kama mzimu, na mengi
yanatokea. Fuatilia.. Familia, vichekesho na vimbwanga, mapenzi, kukosa
uaminifu, visa na mikasa kibao
ambayo
yatapatikana katika filamu hiyo ambayo imetengenezwa kwa ubora wa ali
ya juu na itakayokuwa ikisambazwa na kampuni ya kizalendo ya DJ
Marketing ya jijini Dar es salaam
MAZIKO YA MPENDWA WETU HASSAN NG'ANZO
-
*Ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika pamoja katika siku ya msiba wa
mpendwa wetu Hassan Ng'anzo nyumbani kwa marehemu Sinza Mori mapema siku ya
Ijumaa M...
WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS
-
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen
Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka
jiwe la ms...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments