Katibu wa chama cha Baiskeli Kanda ya Ziwa(KAMWASHI), John
Elisha akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mashindano ya Baikeli Kandaya
ya Ziwa yanayojulikana kwa “Safari Bike Race” yanayotarajiwa kufanyika kesho
Mkoani Shinyanga wakati wa kusherehekea sikukuu ya Nane nane.kutoka kulia ni
Mratibu wa mashindano hayo,Peter Zacharia,Meneja matukio Kanda ya Ziwa
TBL,Erick Mwayela,Meneja mauzo Syanyanga TBL,Robert Michae na Mwenyekiti wa
chama hicho, Elisha Elias.
MUZIKI WA DKT.AGNES GIDNA WAIKUNA KAMATI YA BUNGE.
-
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imempongeza Afisa
Uhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Dkt. Agnes Gidna kutokana
na ...
14 minutes ago
0 Comments