Muumini Anitha Mseti ambaye pia ni
mfadhili wa Kwaya ya Familia Takatifu Kitunda akimshika mkono Askofu
Msaidzi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Titus Mdoe kumkaribisha Parokiani Kitunda baada ya kipaimara kwa watoto 198.Watoto walioata kipaimara Kanisa Katoliki Parokia ya KitundaWatoto wa Utoto Mtakatifu Parokia ya Kitunda wakisalimiana na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mhashamu Titus Mdoe.
Makamu Mwenyekti wa Kitunda,Bi. Nancy
Peter akiongoza akinamama kumshika askofu mkono wa kumkaribisha Parokia
ya Kitunda kutoa asimikwe kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo la Dar es
Salaam, Titus Mdoe.
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar
es Salaam, Mhashamu,Titus Mdoe (katikati) na Paroko wa Parokia ya
Kitunda, James Mweyunge (kuhoto) wakipewa taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa Kanisa litakalogharimu Sh. bil. 1.6 yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Ujenzi, Bw. Simon Dorongo.Nyuma ya Paroko ni Mweyekiti wa Walei Parokia ya Kitunda, Dkt.Donald Antony Mwiturubani (Picha na Peter Mwenda).

TEA YASHIRIKI SIKU MAALUM YA WATAALAMU WA UHASIBU
-
Wadau mbalimbali wakipata Elimu katika banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania
(TEA) wakati wa maonesho kwenye siku maalum ya Wataalamu wa Uhasibu (NBAA
Career...
Ulimwengu Mpya wa Burudani Wafunguliwa Meridianbet
-
MERIDIANBET imetambulisha kampeni mpya inayochukua burudani ya kasino
katika mwelekeo tofauti kabisa, kupitia mchezo wa Zombie Apocalypse. Hii ni
hadi...
TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA NCHINI TANZANIA
-
*TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA NCHINI TANZANIA, BASI LA KING MASAI
LANASWA*
**Raia wa Kenya akamatwa akitumia biashara ya chai kuficha uuzaji wa d...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments