Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha kutoka
kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Christine akiwaeleza wananchi wa Ghana
jinsi idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali inavyosaidia Watumishi
wa Umma katika kupata Mikopo.
Afisa Tawala Mwandamizi Bw. E. Ndofi kutoka kwa Mhasibu Mkuu
wa Serikali Wizara ya Fedha, akitoa ufafanuzi kuhusu watumishi wa Idara
na Vitengo vilivyopo kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali wakati wa maonesho
ya wiki ya utumishi wa umma Nchini Ghana
Msemaji wa Wizara ya Fedha akiwa ameambatana na washiriki
wengine kutoka wizara ya fedha wakiwa kwenye banda la Zimbambwe wakibadilishana
uzoefu juu ya utendaji kazi katika nyanja mbalimbali walipokuwa Nchini
Ghana.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Mhe. Celina O. Kombani alipotembelea Banda la Wizara ya fedha katika
Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.
Mwakilishi kutoka Wizara ya Fedha chini ya Mhasibu Mkuu
wa Serikali Bi. Miriam Mnzava alipotembelea banda la Zimbabwe wakati
wa maonesho hayo.
Washiriki wa Maonesho ya Wiki ya Utumishiwa Umma kutoka Tanzania
na nchi nyingine wakifurahia ushiriki katika maonesho hayo Nchini Ghana.
Washiriki wa Maonesho ya Wiki ya Utumishiwa Umma kutoka Tanzania
na nchi nyingine wakifurahia ushiriki katika maonesho hayo Nchini Ghana.
Mkuu wa Kitengo Cha Ukaguzi wa Mikataba katika Ofisi ya
Waziri Mkuu Bw. Steven H. Issack alipotembelea banda la wizara ya fedha
kutaka kupata ufafanuzi juu ya uanzishwaji wa mikopo kwa watumishi wa
umma kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, kutoka kushoto ni Mkuu
wa Kitengo cha Mikopo Bi. Christine Ngonyani na kulia ni Bi. Miriam
Mnzava Nchini Ghana.Picha na
Scola Malinga-Wizara ya fedha, Tanzania
imetolewa na
Ingiahedi Mduma
Msemaji wa wizara yaf edha
0 Comments