Katika
harakati za kumpata mrembo wa taifa
atakayewakilisha nchi katika mashindano ya urembo ya dunia, baadhi ya
vitongoji
vya DSM vinaendelea na maandalizi ya kupata warembo wake ambapo
vitongozi wa
SINZA na KIGAMBONI vitapata warembo wake juni SABA mwaka huu Somoe
Ng'itu maribu wa Miss Kigamboni amsema shindano hilo litapambwa na bendi
ya FC Academia litafanyika Kigamboni
WALIMU SIMANJIRO WAJENGEWA UWEZO SIS
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
WAKUU wa shule za sekondari na msingi wilayani Simanjiro mkoani Manyara,
wamejengewa uwezo wa kuandaa taarifa za shule kutoka...
1 hour ago
0 Comments