Bondia Issa
Omar na Shaban Madiluu leo mchana wamemaliza taratibu zote zinazohusiana
na mpambano wao wa ubingwa wa UBO. Kwa upande wa mabondia wenyewe
wamejinadi kuwa wamejiandaa vizuri kwa mazoezi ya muda mrefu kwa ajili
ya pambano hilo. Pambano hilo lililoandaliwa na Bigright Promotion na
litasimamiwa na PST chini ya Rais wake, Emmanuel Mlundwa kwa dhamana ya
UBO akiwa kama mwakilishi wa Afrika Mashariki.
RAS MKOA WA PWANI AFUNGUA MAFUNZO YA O&OD
-
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema, amefungua kikao kazi cha
mafunzo ya siku mbili kwa vikosi kazi vya utekelezaji wa Mfumo wa Fursa na
Vikwaz...
17 minutes ago
0 Comments