Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk Shukuru Kawambwa akiangalia baadhi ya shughuli zilizofanywa na wataalam wa elimu, katika hoteli ya White Sands hivi karibuni.
Waziri wa Elimu, Waziri wa Fedha na Naibu Waziri wa Fedha wakibadilishana mawazo walipokutana katika Hoteli ya White Sands walipokwenda kutembelea timu ya wataalam mbalimbali.
Waziri wa Elimu Dk Shukuru Kawambwa akisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na mmoja wa wataalamu wa Elimu. Wengine katika picha ni Mkuregenzi wa Elimu yasekondari Bi Paulina Mkonongo na Kamishina wa elimu bi Bahallausesa.
Waziri wa Elimu Dk Shukuru Kawambwa akizungumza jambo na wataalamu wa elimu.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru kawambwa ametembelea
timu ya wataalam mbalimbali wa elimu waliopo White Sands Hotel katika
zoezi la kupitia changamoto za elimu msingi (Elimu ya Msingi na
Sekondari) na kutafuta ufumbuzi wake ambayo itapelekea kubainisha
vipaombele vya kuboresha elimu katika ngazi hiyo.
0 Comments