Home
About
Contact
Home-icon
HABARI
_KITAIFA
_KIMATAIFA
JAMII
AFYA
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
KUHUSU SISI
MAWASILIANO
Home
TANZANIA YANG’ARA NA VIVUTIO VYAKE VITATU MAONYESHO YA (ITB) BERLIN UJERUMANI
TANZANIA YANG’ARA NA VIVUTIO VYAKE VITATU MAONYESHO YA (ITB) BERLIN UJERUMANI
Khadija Kalili
10:31 PM
Wawakilishi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakigonganisha glasi za mvinyo wa matunda ya Mananasi uliotengenezwa nchini Burundi wakati wa hafla iliyoandaliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)kwenye maonyesho ya utalii ya (ITB) yanayofanyika kwenye jengo la Mense Berlin jijini Berlin Ujerumani, Jumuiya ya Afrika Mashariki imekuwa na mkakati wa Kutangaza utalii wa Afrika Mashariki na mwaka huu ilikuwa na kazi moja ya kunadi maajabu manne ya Afrika yaliyopatikana katika ukanda huu wa nchi za Afrika Mashariki ambayo ni Mlima Kilimanjaro, Mto Nile, Mbuga ya wanyama ya Serengeti na Ngorongoro Crater huku Tanzania ikiwa kinara kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki kwa maajabu yake matatu ambayo ni Mlima Kilimanjaro, Mbuga ya Serengeti na Ngorongoro Crater jambo lililofanya itamkwe mara nyingi miongoni mwa viongozi waliopata nafasi kuzungumzia utalii wa Afrika Mashariki PICHA NA FULLSHANGWEBLOG
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Christopher Mvula akipokea tuzo maalum iliyotolewa na iliyotolewa kwa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka kwa Bi Maria Mutagamba Waziri wa Utalii wa Uganda katika hafla iliyoandaliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye maonyesho ya (ITB) Berlin jana, kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kulia anayeshuhudia ni Naibu Katibu Mkuu wa (EAC) Jesica Eriyo
Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Geofrey Meena kulia akiwa na Adolf Mchemwa Mkuu wa Utawala Ubalozi wa Tanzania Ujerumani wakiwa katika hafla hiyo
Bi. Maria Mutagamba Waziri wa Utalii wa Uganda ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo akisoma hotuba yake na kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusu utalii wa nchi za Afrika Mashariki
Post a Comment
0 Comments
ZINAZOBAMBA ZAIDI
KARIBU NYUMBANI YABAMBA OLDUVAI.
2:39 PM
BALOZI MATINYI AWASILISHA NAKALA ZA HATI YA UTAMBULISHO ALGERIA
7:44 PM
WANARUDI NYUMBANI CHIMBUKO LA ASILI YAO
1:34 PM
KUNDI LA KANGA MOKO YATAITIWA BUNGENI
11:06 AM
MWENYEKITI JOWUTA AWASHUKURU WCF KUTOA MAFUNZO KWA WAANDISHI DAR , PWANI
9:54 PM
BENKI YA DUNIA YAELEZA IMANI KWA MUSTAKABALI WA TANZANIA NA AJENDA YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
10:31 PM
TBN WAIPONGEZA BMH KUTIMIZA MIAKA KUMI TANGU KUANZISHWA KWAKE
5:55 PM
DKT.NCHIMBI KUMUWAKIILISHA RAIS MAZISHI YA BI SUZANA MAGUFULI
8:53 PM
SGR :HATUNA MPANGO WA KUONGEZA NAULI
6:31 PM
MVUA KIDOGO MAJI KIBAO! Hili ndilo jiji la Dar tena eneo la Posta!
11:05 PM
Maktaba Yangu
HABARI
576
HALI YA HEWA
132
JAMII
63
MICHEZO
46
MATUKIO
26
Afya
21
SIASA
19
MAISHA
16
KIMATAIFA
9
UTALII
8
BURUDANI
6
DINI
5
KILIMO
3
SHERIA
3
MUZIKI
1
RIADHA
1
TEKNOLOJIA
1
Social Media
Habari Mchanganyiko
KAIMU MNIKULU MKUU MTAWA AKABIDHI BAJAJI 2 ,KWA WASANII WENYE ULEMEAVU WA VIUNGO
5:26 PM
MVUA KIDOGO MAJI KIBAO! Hili ndilo jiji la Dar tena eneo la Posta!
11:05 PM
5:33 PM
WAZIRI MARY NAGU (MB) ATETA NA UJUMBE WA CHINA
3:54 PM
KUNDI LA KANGA MOKO YATAITIWA BUNGENI
11:06 AM
KARIBU NYUMBANI YABAMBA OLDUVAI.
2:39 PM
KUNDI LA CASH MONEY LAATOA MSAAA KWA WAGOJWA HOSPITALI YA TEMEKE
4:47 AM
ISO KONGWE HAIVUKI
11:08 AM
TBN WAIPONGEZA BMH KUTIMIZA MIAKA KUMI TANGU KUANZISHWA KWAKE
5:55 PM
SGR :HATUNA MPANGO WA KUONGEZA NAULI
6:31 PM
0 Comments