| Meneja
Uhusiano, Kiongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Eunice Chiume (kushoto) akimkabidhi nahodha wa Free Media FC, Salum
Mkandemba sehemu ya vifaa vya michezo kwa ajili ya mashindano ya NSSF
Media Cup 2013 yanayoanza kutimua vumbi Jumamosi Machi 9 kwenye Uwanja
wa TCC Chang’ombe. Makabidhiano hayo yamefanyika leo jijini Dar es
Salaam. |
0 Comments