Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga akiwa na mke
wake, Fridah Mockray wakati wa ibada ya ndoa takatifu iliyofanyika
katika Kanisa Katoliki Sinza jijini Dar es Salaam jioni hii. (Picha zote
na Habari Mseto Blog)
Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la
Tanzania Daima, Joseph Senga akiwa katika pozi na mke wake, Fridah
Mockray mara baada ya kufunga ndoa katika Kanisa Katoliki Sinza jijini
Dar es Salaam jioni hii. (Picha zote na Habari Mseto Blog)
Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga akipongezwa na mama yake mzazi
Pozi la harusi
Picha ya pamoja
Maharusi wakitoka Kanisani
Matron akisaini cheti
0 Comments