Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia,
Hamid Ameir Ali, ambaye ni Waziri Mstaafu na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar, wakati alipofika kumjulia hali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja mjni
Zanzibar jana Desemba 20, 2012, alikolazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi
ya malaria na Kifua.
WAZIRI WA AFYA MCHENGERWA: HAKUNA MGONJWA ANAYEPASWA KUNUNUA DAWA NJE YA
KITUO
-
-Azindua wa mfumo wa kidigitali wa 'Ongea na Waziri',
-Asisitiza umuhimu wa uwajibikaji ,utu kwa wahudumu , awataka kuzingatia
maadili
Na. Vero Ignatus...
55 minutes ago

0 Comments