Ofisa Programu wa Asasi ya Islamic Help, Adam Rajab (wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu hafla ya Futari na chakula cha usiku iliyoandaliwa na Asasi hiyo Ijumaa Agosti 3.2012 katika Hoteli ya Serena, kwa ajili ya kuchangisha fedha za ujenzi wa nyumba katika kijiji cha watoto yatima 'Childrens Eco Village' huko Kisemvule ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi. Kushoto ni Afisa Utawala wa Islamic Help, Saamia Shikely (Kutoka wa tatu kushoto) ni; Meneja wa Islamic Help Tanzania, Ishak Muhsin, Mwanachama Mshauri wa Bodi, Salehe Ally na Mkurugenzi wa Vision Investment, Ally Nchahaga.
TUTAKUWA WAKALI- DKT AKWILAPO
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
amesema watakuwa wakali kwa watumishi watakaokiuka tarati...
1 hour ago
0 Comments