Web ya Ngoma Africa band aka FFU hewani tena baada ya matengenezo ya masaa machacheTovuti ya bendi maarufu ya dansi barani ulaya Ngoma Africa band hipo hewani tena baada yakufanyiwa marekebisho fulani ya kiufundi kwa masaa machache jana Juni 10 , 2012 , Kambi hiyo ya FFU at www.ngoma-africa.com inaendelea kumwaga burudani kamiliya muziki kama kawaida masaa 24 kwa siku 7 za wiki. wadau wote mnaombwa kuendelea kupata raha ya muziki bila kwikwi bofya at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
WAZIRI AWESO ATAKA KAZI ZIFANYIKE USIKU NA MCHANA KUKAMILISHA MRADI WA MAJI
MKINGA
-
Na Oscar Assenga, MKINGA
WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amemtaka Mkandarasi anayetekeleza mradi wa Maji
Mkinga – Horohoro kuhakikisha wanafanya kazi usiku...
13 minutes ago

0 Comments